Tumekusoma | Tigo Tanzania

 Tumekusoma

Karibu Tigo. Tunaelewa shida zako na tunaendelea kukupa huduma na bidhaa zinasizotatua na kukufanya upate maendeleo.

Piga *147*00# kupata menu mpya iliyoboreshwa na kurahisishwa ufurahie na kupata bonus kwa kila kifurushi.

Angalia faida za ziada

  • Ni menu iliyoboreshwa ni namba rahisi kwa mteja kuitumia na kuikumbuka.
  • Kulipia huduma au bidhaa kwa haraka zaidi iwe kwa salio la kawaida au kwa Tigo Pesa.
  • Hii inamuwezesha mteja kupata na kununua ofa, bidhaa au huduma ambazo zinaendana na matumizi yake aliyoyazoea.

Maswali ya Mara kwa Mara

   Sioni kifurushi ninacho kipenda kwenye MENU

Tumerahisisha menu mpya *147*00# kufanya iwe rahisi kununua vifurushi kutoka Tigo na bado unaweza kununua kifurushi 

unachokipenda kutoka *148*00# ila hautapokea bonus. Kwa bonus na ofa za ziada piga *147*00# -> Ofa ChapChap upate ofa za ziada

zinazopendekezwa kwako 

   Njia gani za malipo naweza kutumia kwenye menu hii?

Kwenye menu hii unaweza kulipia kwa Salio la muda wa maongezi au Salio la TigoPesa 

  Kifurushi cha chuo ndo ninachokipenda, bado naweza kukipata kwenye menu mpya?

Ndio, unaweza kukipata kifurushi hiki kwa kupiga *147*00# -> Ofa ChapChap -> Kifurushi cha chuo

  Nitawezaje kuangalia salio la kifurushi nilichojiunga kupitia menu hii?

Piga *147*00# -> Customer Care Services -> Kuangalia Salio

  Nitapata bonus kutoka *147*00#?

Sasa unaweza kupata na kufurahia bonus kwa kununua vifurushi kutoka *147*00# badala ya njia ya zamani.

  Naweza kupata ofa za Jaza Ujazwe kutoka *148*00#?

Jaza ujazwe imesitishwa. Sasa tuna ofa mpya: Unaponunua kifurushi kutoka kwenye menu mpya (*147*00#), utapata bonus sawa na JazaUjazwe - inaweza kuwa MB, SMS au muda wa maongezi.

   Bado naweza kutumia *148*00#?

Ndio, menu ya zamani itakuwepo kwa kipindi kifupi kabla ya kutolewa ila hautapokea bonas yoyote ununuapo kifurushi kutoka kwenye menu ya zamani.

  Je vifurushi vimepanda bei ukilinganisha na menu ya zamani?

Hapana vifurushi vina bei ile ile, kuanzia Shs 500.

  Nitapataje vifurushi vya zamani?

Utapata vifurushi vya zamani kwa kupiga *147*00# changua Ofa Zangu , Siku , Wiki, Mwezi na Bila kikomo

  Kwanini Menu mpya?

Tumeleta menu mpya ili kurahisisha upatikanaji wa huduma zetu kwa ukamilifu na uwazi

 

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo