Intaneti ya 4G Tanzania | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 Intaneti ya 4G Tanzania

Kubadili kwenda 4G+ ni rahisi na itafanya matumizi ya mtandao rahisi na upesi zaidi. Furahia kasi mara tano zaidi ya 3G lakini kwa gharama ile ile. Haijalishi kifurushi gani utakachonunua, unachohitaji ni kifaa kinachoshika 4G+. Maisha ni kasi zaidi na 4G! 

4G+ Kwa Wateja wa Tigo

1.       Cheki kama simu yako ina uwezo wa kushika mtandao wa 4G+ kwa kutazama chini. 

2.       Kama simu yako haina uwezo wa kushika 4G+, angalia dili bomba za simu za 4G+.

 

Vifaa Vyenye Uwezo wa 4G

iPhone 8  64 GB

iPhone 8 64 GB

1,999,999 TZS

Jua Zaidi
E5573 4G MIFI

E5573 4G MIFI

75,000 TZS

Jua Zaidi
B315 4G CPE Router + Cordless Phone

B315 4G CPE Router + Cordless Phone

250,000 TZS

Jua Zaidi

Angalia Vifaa Vyote vya 4G

Angalia Uwezo wa Kushika 4G+ wa Simu yako kwa Hatua 3

1.     Bofya *06# kwenye simu yako. 

2.     Chukua namba 8 za mwanzo za namba ya IMEI yako.

3.     Tafuta namba ya IMEI yako kwa muangalizo unaoonyeshwa hapo chini.


 

Mtandao wa 4G+

Furahia spidi yenye kasi ya 4G+ ndani ya miji 5. Unaenda nje ya eneo lenye 4G+? Usitie shaka utabadilishiwa kwenda 4G au 3G moja kwa moja na kukuacha ukiwa na intaneti popote uendapo.

Jaza maelezo yako kwa chini kuomba laini ya 4G+

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo