Intaneti ya 4G Tanzania | Tigo Tanzania

 Intaneti ya 4G Tanzania

Kubadili kwenda 4G ni rahisi na itafanya matumizi ya mtandao rahisi na upesi zaidi. Furahia kasi mara tano zaidi ya 3G lakini kwa gharama ile ile. Haijalishi kifurushi gani utakachonunua, unachohitaji ni kifaa kinachoshika 4G. Maisha ni kasi zaidi na 4G! 

4G Ikielezwa na Dr Digital

4G Kwa Wateja wa Tigo

1.       Cheki kama simu yako ina uwezo wa kushika mtandao wa 4G kwa kutazama chini. 

2.       Kama simu yako haina uwezo wa kushika 4G, angalia dili bomba za simu za 4G.

3.       Tembelea Duka lolote la Tigo na kitambulisho chako kubadili line yako ya Tigo bure! Utabaki na namba yako ile ile.

4G Kwa Wateja Wapya wa Tigo

1.       Tembelea Duka lolote la Tigo ujipatie line mpya ya 4G leo!

 

Vifaa Vyenye Uwezo wa 4G

Tecno Camon CX

Tecno Camon CX

399,900 TZS

Jua Zaidi
Microsoft Lumia 640 Lte

Microsoft Lumia 640 Lte

620,000 TZS

Jua Zaidi
Samsung J7 Lte

Samsung J7 Lte

620,000 TZS

Jua Zaidi
Huawei P8 Max

Huawei P8 Max

1,150,000 TZS

Jua Zaidi
Iphone 6 Plus

Iphone 6 Plus

2,000,000 TZS

Jua Zaidi
E3372 4G Modem

E3372 4G Modem

100,000 TZS

Jua Zaidi
E5572 4G Router

E5572 4G Router

150,000 TZS

Jua Zaidi
E5172 4G CPE Router

E5172 4G CPE Router

350,000 TZS

Jua Zaidi

Angalia Vifaa Vyote vya 4G

Angalia Uwezo wa Kushika 4G wa Simu yako kwa Hatua 3

1.     Bofya *06# kwenye simu yako. 

2.     Chukua namba 8 za mwanzo za namba ya IMEI yako.

3.     Tafuta namba ya IMEI yako kwa muangalizo unaoonyeshwa hapo chini.


 

Mtandao wa 4G

Tunajivunia kuwa na mtandao wa 4G MKUBWA na wa KASI ZAIDI kuliko zote Tanzania! Furahia intaneti yenye kasi zaidi jijini Dar es Salaam, Dodoma, Arusha, Morogoro, Tanga na Mwanza. Unasafiri nje ya mtandao wa 4G? Usitie shaka, utabadilishiwa kwenda mtandao wa 3G moja kwa moja na kukuacha ukiwa umeunganishwa na internet kokote uendako.  

 

Jaza maelezo yako kwa chini kuomba laini ya 4G

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo