Tigo Tanzania ni hadithi ya ukuaji inayoendeshwa na wajasirimali. Kampuni ni sehemu ya Millicom, moja kati ya waanzilishi wa wakuu wa mtandao wa simu ya kibiashara na ni mkuu wa soko katika nchi 13 zinazoendelea Afrika na Amerika Kusini.
Dira Yetu
- Kuongoza watu kwenye mfumo wa maisha ya kidigitali na matumizi ya intaneti.
Dhamira yetu
- Kuwawezesha watu kimaendeleo na kufurahia maisha.
Maadili yetu
Kuna mambo makuu matano yanayotuongoza
- Uadilifu
- Heshima
- Ari ya kufanya kazi
- Urahisi
- Unafuu
Tunaamini katika uadilifu heshima na ari ya kufanya kazi. Kuelekeza nguvu katika haya maadili matatu tunajenga mafanikio endelevu .Tunathamini kampuni kama wamiliki. Tukiwa na vipaumbele vitatu kama unafuu,uwepo na upatikanaji na tunaweza kufanikisha kwa kutoa huduma kwa gharama nafuu,upatikanaji bora na urahisi wa ununuzi na matumizi.