Kanuni za Maadili ya Millicom | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..
 Binafsi

Hapa Millicom tumeweka sheria zenye uwazi na matarajio kwenye kanuni zetu za maadili.

Kila mmoja bila kujali nafasi aliyokua nayo, lazima azingatie maadili haya, sio kwa maneno tuu bali pia kwa vitendo. Kanuni zetu za maadili zinapitiwa kila mwaka ili kuhakikisha zinaendelea kutumiza malengo yake yanayobadilka kisheria na kiwango na pia matarajio ya wenye mamlaka na jamii kiujumla.

Kanuni za Maadili ya Millicom zipo katika lugha kuu tatu - Kiingereza, Kifaransa, na Kiispaniola.

Tunahamasisha watu kutoa mawazo yao na kujadili masuala ama kutoa mapendekezo kwa mkuu wao wakitengo bila kuogopa bali kuwa na uhakika kwamba mjadala wake utakua wenye siri.

Ukiukaji wowote wa sheria na kanuni hizi za Millicom na sera zingine za kampuni lazima ziletwe mmoja kwa mmoja kwenye kitengo cha Maadili ya Biashara.

Pakua Kanuni za Maadili

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo