Akaunti ya Makusanyo ya Tigo Pesa | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 Akaunti ya Makusanyo ya Tigo Pesa

Fungua akaunti ya kupokea malipo kwa Tigo Pesa na kuwa mpokeaji wa malipo ya billi kwa Tigo Pesa. Akaunti za kupokea malipo zina maufaa haswa kwa makampuni yanayotoa huduma mara kwa mara kwa wateja nchini Tanzania.

Faida ya kuwa na akaunti ya kupokea malipo ya Tigo Pesa:

  • Inawarahisiha wateja jinsi ya kulipa
  • Inapunguza ucheleweshaji wa malipo
  • Inaongeza ufanisi wa miamala
  • Inapunguza gharama ya kufanya miamala.

Kufungua akaunti ya kupokea malipo ya Tigo Pesa na kwisha kuwa mpokeaji wa malipo ya billi kwa Tigo Pesa, wasiliana na kitengo chetu cha huduma kwa makampuni kwa kupiga simu 0713 123 103 au jaza fomu ya mawasiliano iliyopo hapo chini.

Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo