Anza kutumia Tigo Pesa | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 Anza kutumia Tigo Pesa

Anza Kutumia Tigo Pesa kwa Hatua 4 rahisi

1.       Jisajili na Tigo Pesa kwenye duka lolote la Tigo Pesa au Wakala wa Tigo Pesa. Unachotakiwa kuwa nacho na laini ya Tigo na kitambulisho halali.

2.     Vitambulisho vifuatavyo pekee ndo vinakubalika katika kufungua akaunti ya Tigo Pesa

  •      Hati ya kusafiria
  •      Leseni ya udereva
  •      Kadi ya mpiga kura
  •      Kitambulisho cha Utaifa
  •      Utambulisho wa uraia wa Zanzibari

3.       Fungua akaunti yako kwa kubofya *150*01# ambapo unaweza kutuma pesa, kununua muda wa maongezi, kulipia bili na ata kutuuma pesa kwa akaunti yako ya benki.

4.       Weka Pesa kwenye akaunti yako kwa kutembelea wakala wowote wa Tigo Pesa nchi nzima.

5.       Toa Pesa kutoka kwa akaunti yako kwa kutembelea wakala wowote wa Tigo Pesa nchi nzima.

Tembelea wakala wowote wa Tigo pesa uanze kutuma na kupokea pesa maramoja.

Usajili ukikamilika, pakua app ya Tigo Pesa ufurahie huduma ya pesa iliyo rahisi, upesi na ya kuaminika.

 

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo