AppPlus | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 AppPlus

Kuhusu AppPlus:

Hii ni huduma inayomuwezesha mteja kufurahis video, gemu na app katika simu yake. Mteja anapata nafasi ya kupakua gemu na kuhifadhi kwenye simu yake mara bada ya kujiunga na uduma hii.

Jinsi ya Kujiunga huduma ya App Plus:

Mteja anaweza kujiunga na huduma kwa kutembelea http://tigo.appplus-sys.co/mobile au kwa kutuma neno APP2, VID2 au GAME2 15025.

Jinsi ya Kujiondoa kwenye huduma ya Religious Portal: 

Kujiondoa kwenye huduma mteja anaweza kutuma neno ONDOA kwenda15025 au kwa kutembelea http://tigo.appplus-sys.co/mobile.

Gharama za huduma:

Huduma hii inatoza Tsh 150 kwa siku, Tsh 500 kwa wiki na Tsh 1500 kwa mwezi.

Vigezo na Masharti:

Maswali na Majibu:

  App Plus ni huduma gani?

Hii ni huduma inayompa mteja nafasi ya kufurahia apps, gemu na video kwenye simu yake

  Je kuna gharama zozote za kutembelea ukurasa wa AppPlus?

Hakuna gharama zozote zinazotozwa kwa kutembelea ukurasa wa AppPlus. Gharama pekee zinazotozwa ni za kujiunga na huduma tu

  Je nini kinafwata mara baada ya kujiunga na kupakua gemu, video au app?

Mara baada ya kupakua, gemu vidoe na apa vitahifadhiwa katika simu yako na utaendelea kufurahia

   Je naweza kuhifadhi gemu, video au ap kwa muda gani katka simu yangu?

Kila ulichopakua kitakuwa katika simu yako hadi utakapoamua mwenyewe kuondoa

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo