Kuhamisha pesa kutoka benki ni Huduma inayomwezesha mteja kuhamisha pesa kutoka kwenye benki yake kuingia kwenye akaunti yake ya Tigo Pesa
Inabidi uwe umesajiriwa na Huduma ya simu ya kibenki inayotolewa na benki yako
Unaweza tembelea tawi lolote au machine ya ATM ya benki yako au tembelea duka lolote la Tigo lililo karibu nawe kupata msaada zaidi.
Zipokama benki 25
Pindi unaposajiriwa na benki yako kutumia Huduma hii, kuna njia mbili za kutumia hii huduma
Pindi unaposajiriwa na benki yako kutumia Huduma hii, kuna njia mbili za kutumia hii huduma
Chagua Benki nyingine kisha utafute benki yako,kama bado huiona tafadhali piga 100 huduma kwa wateja kwa msaada zaidi
Tafadhali tembelea tovuti ya tigo kujua menyu ya benki yako
Gharama utakazokatwa ni za benki yako pale unapohamisha pesa kulingana na
Pesa itaingia kwenye akaunti yako ndani ya dakika 5
Usipopokea pesa yako wasiliana na Huduma kwa wateja 100
Inarahisisha kuingiza pesa kwenye akaunti yako ya Tigo pesa ambapounaweza kuitumia kiurahisi na usalama zaidi kufanya malipona manunuzi yoyote
Kama umebadili laini siku za karibuni tembelea tawi labenki lako kupeleka tena taarifa zako binafsi ili zihakikiwe. Kama hujabadili laini basi piga Huduma kwa wateja 100
Hakimiliki © 2021 - Tigo Tanzania