loader image

Tigo inayofuraha kukujulisha kuhusu kampeni ya “CHAWOTE” hii ni ni Kampeni inayowapa wateja nafasi ya kujishindia zawadi za pesa taslimu kwa Njia ya E-pesa ya hadi TSh 5,000,0000 na bonasi za papo hapo za hadi dakika 100 na SMS 100. Kwa siku 90 zijazo.

Maelezo ya Kampeni:

Ofa ya papo hapo ya dakika na SMS

 • Nunua Vifurushi vya Sauti/Combo Vya Siku (Siku 1, Siku 3, Siku 180), Vifurushi vya Wiki au Mwezi kuanzia Kima cha chini cha 500Tshs hadi Kiwango cha Juu cha 30,000Tshs Mnunuzi Utazawadiwa Bonasi ya hadi Dakika 100 Bure.
 • Nunua Vifurushi vya Data/SMS Kila Siku/Siku 180, Wiki au Mwezi kuanzia Kima cha chini cha 200Tshs hadi Kiwango cha Juu cha 50,000Tshs Mnunuzi Utazawadiwa Bonasi ya hadi SMS 100 Bure.

Ofa ya Zawadi ya Pesa

 • Nunua Vifurushi au utumie Lipa kwa simu kulipia bidhaa na huduma kupitia Tigo Pesa na upate nafasi ya kujishindia hadi TSh 1,000,000 kila siku na TSh 5,000,000 kila mwezi.

Jinsi ya Kushiriki:

Droo Za kila Siku:

 • Fanya muamala wowote kwenye siku husika kati ya (0000hrs- 23:59hrs)
 • Kadiri unavyofanya miamala ndivyo uwezekano wako wa kushinda unavyoongezeka
 • Hakuna muamala wa siku husika utakaobebwa kwenye droo ya siku nyingine

Njia za Kushiriki:

 • Kununua Kifurushi kupitia Tigo Pesa USSD *150*01# or Tigo Pesa APP.
 • Lipia Bidhaa au Huduma kwa njia ya Lipa Kwa Simu

Muundo wa Zawadi:

Jumla ya Washindi 28,896 wanatarajiwa kupatikanika ndani ya siku 90 za promosheni hii:

 • Washindi 200 wakijishindia zawadi ya pesa taslimu TSh 5,000 kila siku.
 • Washindi 100 wakijishindia zawadi ya pesa taslimu TSh 10,000 kila siku.
 • Washindi 20 wakijishindia zawadi ya pesa taslimu TSh 50,000 kila siku.
 • Mshindi 1 akishinda TSh 1,000,000 pesa taslimu kila siku.
 • Washindi 2 wakijishindia pesa taslimu TSh 5,000,000 kila mwezi kwa miezi 3

Maswali Yaulizwayo Mara Kwa Mara.

Kampeni Ya CHAWOTE ni Kampeni inayowapa wateja nafasi ya kujishindia zawadi za pesa taslimu kwa Njia E-Pesa ya hadi Tshs 5,000,000 na Bonasi za papo hapo za hadi dakika 100 na SMS 100 kwa siku 90 zijazo kila wanunuapo vifurushi kupitia Tigo Pesa au kutumia Lipa kwa simu kulipia Bidhaa/Huduma.

Fanya miamala iliyoidhinishwa kwenye siku husika kati ya (00:00hrs – 23:59hrs)

Kila Siku.
Wateja 18,000 Watajishindia TSh 5,000
Wateja 9,000 Watajishindia TSh 10,000
Wateja 1,800 Watajishindia TSh 50,000
Wateja 90 Watajishindia TSh 1,000,000

Ikiwa utashinda tuzo ya kila siku, bado una nafasi ya kushinda tuzo ya kila mwezi, lakini huwezi kushinda siku inayofuata.

Wateja lazima wafanye miamala kama vile malipo ya Lipa kwa simu na Ununuzi wa Vifurushi kupitia Tigo Pesa ili kufuzu kuingia kwenye droo. Kadiri wateja wanavyofanya miamala mingi, ndivyo unavyopata nafasi nyingi zaidi.

Fanya miamala iliyotajwa ya Tigo Pesa katika kipindi cha mwezi na utapata nafasi ya kuingia kwenye droo ya kila mwezi. Na Jishindie TSh 5,000,000.

Hapana. Ni Miamala iliyotajwa hapa chini pekee ndiyo stahiki kuingia kwenye droo

 • Lipia Bidhaa au Huduma kupitia Lipa Kwa Simu
 • Nunua vifurushi kupitia Tigo Pesa

Kila muamala unaofuzu unatambuliwa kama nafasi ya kuingia kwenye droo.

Tunatarajia jumla ya washindi 28,896 ndani ya siku 90

Pamoja na Zawadi za papo kwa hapo za muda wa maongezi au SMS vile vile tuna
Zawadi kwa washindi watokanao na droo ya bahati nasibu ya kila siku na mwezi;

Washindi 200 wakijishindia zawadi ya pesa taslimu TSh 5,000 kila siku kwa siku 90
Washindi 100 wajishindia zawadi ya pesa taslimu TSh 10,000 kila siku kwa siku 90
Washindi 20 wakijishindia zawadi ya pesa taslimu TSh 50,000 kila siku kwa siku 90
Mshindi 1 akishinda TSh 1,000,000 pesa taslimu kila siku kwa siku 90
Washindi 2 wakijishindia pesa taslimu TSh 5,000,000 kila mwezi kwa miezi 3

Zawadi zote zitatumwa kwa nambari ya simu ya mshindi kupitia Tigo pesa mara baada ya nambari ya mteja na maelezo kuthibitishwa.

Droo zitakuwa zikiendelea kila Jumatano kwa wiki 13.

Maafisa wa Tigo watawaita washindi wote waliochaguliwa kuwaarifu kuhusu ushindi
wao na jinsi ya kuchukua zawadi zao. Viongozi watapiga simu na Tigo namba 100.

Wasiliana na kituo chetu cha Simu 100, Tembelea duka lolote la Tigo lililo karibu
nawe au tembelea tovuti yetu. (www.tigo.co.tz).

Tembelea tovuti ya Tigo (www.tigo.co.tz) kwa sheria na masharti ya ofa hiyo.

Tafuta duka la Tigo