EAGT | Tigo Tanzania

 EAGT

KAMPENI YA SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI AFRIKA MASHARIKI NI NINI?

Mashindnao makubwa ya KUSAKA VIPAJI duniani yenye mafanikio makubwa ya kibua vipaji.Kwa kushirikiana na Tigo kwa kushirikiana na EAGT’s tunakuletea promosheni ya mashindano ya kusaka vipaji Afrika mashariki itakayowezesha wateja wetu kujishindia hadi Tsh milioni 7.


Zawadi:

  • Washindi wa pesa taslim – Zaidi ya tsh37, 000,000 kushindaniwa
  • JINSI YA KUJIUNGA: Tuma neon TALENT kwenda 15572 au tembelea  http://tigoquizkitaa.co.tz
  • malipo ni tsh 100 kwa kila sms

EAGT Maswali na Majibu

  Najiondoaje kwenye huduma hii?

Kwa kutuma neon ONDOA TALENT Kwenda 15572

  Kinatokea nini baada ya kujiunga na huduma hii?

Papo hapo, utapata ujumbe wenye swali ambalo utajibu ili kupata pointi za ushindi.

  Nani anastahili kushiriki kampeni ya EAGT?

Mteja yeyote wa Tigo wa malipo ya awali.

  Ni zawadi gani nitapata nikishiriki kampeni hii?

Kutakua Zawadi mbili kila wiki. Mwenye pointi nyingi Zaidi atashinda tsh500, 000.

Na mwisho wa kampeni kutakua na ZAWADI KUU ya ths7, 000,000 taslim kwa mwenye pointi nyingi Zaidi kwa kipindi chote cha kampeni

  Ni pointi ngapi nitapata kwa kila jibu?

Kwa kila jibu sahihi unapata pointi 200 na kwa kila jibu lisilo sahihi utapewa pointi 50

  Je kuna malipo yoyote nikitembea tovuti?

Hapana, Hakuna malipo ukitembea tovuti yetu isipokua pale tu utakapoanza kucheza kwa kujibu maswali. Kila jibu unalipia Tsh100.

  Ni nini faida ya Huduma hii?

Mteja anapata nafasi ya kushinda PESA taslim.

  Kampeni ya EAGT ni nini?

Ni Kampeni ya kujibu maswali yahusuyo Shindano la kusaka vipaji Afrika mashariki kwa njia ya meseji na Tovuti

  Je,Nawezaje kupata huduma hiyo?

Kwa kutuma neno TALENT Kwenda 15572 au tembela visit http://tigoquizkitaa.co.tz


Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo