Fanmoby | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 Fanmoby

Kuhusu Fanmoby (Fantasy Sports):

  1. Huduma inayokuwezesha mteja kutengeneza timu yake pendwa ya mpira wa miguu.
  2. Mteja atatakiwa kuonyesha uelewa wake wa mpira kwa kuchagua timu bora zaidi.
  3. Huduma inampa mteja uhuru wa kuchagua michezo mingi au ligi za EPL,UEFA, La Liga, Bundesliga, etc.
  4. Mteja atapata nafasi ya kujitengenezea pointi nyingi kila wakati.
  5. Pointi nyingi zinampa mteja nafasi ya kijishindia zawadi mbalimbali.

Jinsi ya Kujiunga na Fanmoby:

Tembelea ttz.fanmoby.com na uchague kujiunga na gharama uipendayo.

Jinsi gani naweza kujitoa kwenye huduma ya Fanmoby:

kujitoa kwenye huduma tembelea ttz.fanmoby.com na chagua akaunti yako kisha kujitoa.

Vigezo na Masharti:

Maswali na Majibu:

  Huduma ya Fanmoby ni huduma gani?

1.Huduma inayokuwezesha mteja kutengeneza timu yake pendwa ya mpira wa miguu
2.Mteja atatakiwa kuonyesha uelewa wake wa mpira kwa kuchagua timu bora zaidi
3.Huduma inampa mteja uhuru wa kuchagua michezo mingi au ligi za EPL,UEFA, La Liga, Bundesliga, etc
4.Mteja atapata nafasi ya kujitengenezea pointi nyingi kila wakati
5.Pointi nyingi zinampa mteja nafasi ya kijishindia zawadi mbalimbali

  Jinsi gani naweza kujiunga na huduma ya Fanmoby ?

Tembelea ttz.fanmoby.com na uchague kujiunga na gharama uipendayo

  Jinsi gani naweza kujitoa kwenye huduma ya Fanmoby? 

kujitoa kwenye huduma tembelea ttz.fanmoby.com na chagua akaunti yako kisha kujitoa

  Zipi gharama za huduma hii?

Huduma hii inatoza Tsh 200 kwa siku, Tdh 500 kwa wiki na Tsh 1500 kwa mwezi

  Vigezo gani vinaniwezesha kupata huduma hii?

1.Huduma hii inapatikana kwa wateja wa Tigo wa malipo ya kabla

2.Gharama za intaneti kwa mtandao wa intaneti zitatumika kwa mteja 

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo