Fanya Muamala Ushinde | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 Fanya Muamala Ushinde

Tumekusoma! Na tutakufanikisha malengo yako ya 2017.  Tigo Pesa inatoa zawadi kemkem kwa wateja wake ambao watajishindia mamilioni ya pesa kupitia promosheni ya ‘Fanya muamala na ushinde na Tigo Pesa’ inayoendeshwa katika msimu huu wa Krismasi na Mwaka Mpya . Kama unampango wa nunua gari, kuchukua safari au kuanza biashara, tumia Tigo Pesa na ushinde hadi Tshs Millioni 15.

Unapata nafasi ya kushinda kwa kufanya miamala yoyote kutoka kwa simu zao kupitia Tigo Pesa. Kadri ya unavyofanya miamala mingi zaidi ndivyo unavyojiongezea nafasi ya kushinda.

ZAWADI ZA KUSHINDANIWA

Promosheni hiyo itakayodumu kwa kipindi cha mwezi mmoja itashuhudia washindi watatu wa jumla wakijinyakulia vitita vya TZS 15 millioni, TZS 10 millioni na TZS 5 millioni kila mmoja.

Pamoja na hayo

  • kutakuwa na washindi wa kila siku ambapo mmoja atalamba donge nono la TZS millioni 1, 
  • huku wengine wanne wakijinyakulia TZS 500,000 kila mmoja, kila siku.
 
 

 

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo