Dr Digital ni mfululizo wa vipindi vya kidgitali vyenye mtangazaji mcheshi, anayezungumzia maswali ya wateja pamoja na bidhaa na huduma za Tigo kwa kutumia vichekesho na lugha rahisi inayoeleweka. Vipindi vingine vitarushwa hewani kwenye luninga na vitapatikana katika kurasa za Tigo za mtandaoni. Katika kipindi hiki, daktari anaongelea jinsi ya kuanza kutumia mtandao wa Tigo wa 4G pamoja na manufaa mengine ya mtandao wa Tigo 4G ikiwa pamoja na jinsi mtandao wa Tigo 4G ulivyoenea Tanzania.