Hii programu ya 2016 ililenga kuwapa fursa kila mtu, kutoa huduma yenye kiwango bora na kukuza maudhui ya ndani ya nchi ya kidijitali pamoja na huduma ziliongezeka thamani.
Mkutano huu wa siku tatu ulikua wa kitaalamu uliohusisha wasemaji wakuu mbali mbali, majadiliano ya jopo na utafiti wa ndani kutoka idara tofauti.

Siku ya kwanza ya mkutano wa GSMA Mobile 360 ulikua wenye mafanikio kuwa wa kwamba ndi ilikua mara ya kwanza kufanyika Tanzania.

Wasemaji tofauti waliongea kuhusu mengi kwenye mkutano wa GSMA.

Wasikilizaji wengi walifunguka kiakili kufikia mwisho wa mkutano huu.