Jinsi ya kujua kwamba vifaa vya simu yako vinaruhusiwa
1. Piga *#06# kupata namba ya IMEI ya simu yako
2. Tuma namba ya IMEI kwenda 15090
3. Utapata SMS (meseji) itakayokwambia aina ya simu pamoja na mtengenezaji.
4. Usipopata hiyo SMS (meseji), simu yako ni feki na itasitishwa na mtandao unayoitumia kuanzia tarehe 16 Juni
Tigo inauza simu za ukweli TU kutoka kwa makampuni ya kuaminika. Jipatie simu kwenye Duka La Tigo lolote leo. Simu zetu zina ubora wa hali ya juu, kwa bei nzuri na vifaa vyote vya simu zetu zinaruhusiwa.
Chaguo letu la Mwezi Tecno Y3+ - Menyu ya Kiswahili Pitia simu za Tigo