Chalinze, Pwani – 2 Julai 2019: Wakazi wa mji wa Chalinze mkoani Pwani sasa wataweza kupata huduma bora zaidi za kupiga simu, Intaneti na huduma za kifedha kupitia simu kutoka Tigo kufuatia uzinduzi wa mtandao wa 4G wilayani humo.
Mbeya, Agosti 14 2019: Katika juhudi za kuchangia malengo ya Serikali ya kuboresha na kuinua viwango vya elimu katika taasisi za elimu ya juu, kampuni inayoongoza katika maisha ya kidigitali nchini Tanzania, Tigo, leo wamekabidhi kompyuta za mezani 20, zitakazo wanufaisha wanafunzi 4,630 katika Chuo Kikuu...
Mtwara, 16 Novemba, 2017. Wakulima wa korosho katika mikoa ya Lindi na Mtwara wameanza kufurahia uhakika, usalama na urahisi wa kupata malipo kwa mavuno yao ya korosho baada ya kuingia mkataba na kampuni ya Tigo, utakaowawezesha kupokea malipo kwa...
Dar es Salaam. 20 Juni, 2019. Wateja wa Tigo na DStv sasa wataweza kufurahia mechi mubashara za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) sehemu yeyote na muda wowote, baada ya makampuni haya mawili kuzindua ushirikiano maalum na mahususi ya...
Dar es Salaam, Januari 24 2019. Kampuni ya simu inayoongoza katika maisha ya kidigitali Tanzania, Tigo, imeanza mwaka 2019 kwa kutangaza uzinduzi wa App ya Tigo pesa katika kampeni inayojulikana kama #AppanaChezeaTigo PesaApp campaign.
Dar es Salaam, Agosti 1, 2019: Kampuni inayoongoza katika maisha ya kidigitali nchini Tanzania ya Tigo, leo imetoa msaada wa kompyuta 10 shule ya sekondari ya wasichana Kisutu, pamoja na kuwaunganisha na intaneti ya bure kwaajili ya kuwawezesha wanafunzi kupata elimu kupitia teknolojia ya kisasa.
Kampuni ya mawasiliano ya Tigo, baada ya kufanikisha ndoto za wateja wake 10 kushuhudia mashindano ya soka ya Afrika, mubashara kupitia promosheni yake ya SOKA la AFRIKA, leo imetangaza mshindi wa fedha taslimu shilingi milioni 10 kupitia promosheni hiyo.
Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo kwa mara ya nne mfululizo imekuwa mdhamini rasmi wa mawasiliano kwenye maonyesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam maarufu kama Sabasaba.
Dar es Salaam. 31 Mei, 2019. Wateja wa Tigo sasa wana kila sababu ya kufurahi baada ya uzinduzi wa ofa mpya ya ‘Saizi Yako’ inayolenga kuwapatia huduma za intaneti, muda wa maongezi na SMS kutokana na mahitaji mahususi ya kila mteja kwa gharama nafuu.
Kurasa 3 ya 12
Hakimiliki © 2021 - Tigo Tanzania