Tigo Tanzania leo imetoa msaada wa visima vine vya maji vyenye thamani ya shilingi milioni 64 kwa vijiji vinne katika kanda ya ziwa ikiwa ni kusaidia juhudi za serikali katika kupunguza tatizo la uhaba wa maji safi na salama uliopo nchini.
Kampuni ya simu ya Tigo kwa kushirikiana na shirika lisilo la kiserikali la Reach for Change wamezindua shindano la tuzo ya mwaka ya Kidijitali ya Tigo Change makers.
Kwa ushirikiano na TCRA, Tigo inakumbusha wateja wake kusajili SIM card zao.
Tigo na Clouds wametoa msaada wa mifuko ya saruji yenye thamani ya 40m/- kwa ajili ya janga lililoikumba Kagera.
Shule 9 za msingi jijini Mwanza zapokea madawati 385 kutoka kampuni ya Simu ya Tigo Tanzania.
Tigo Tanzania imetangaza tena gawio la robo mwaka la shilingi bilioni 5.6 kwa watumiaji wa Tigo Pesa.
Tigo Tanzania na Kupatana.com, zimeingia ubia ambapo kila kampuni itauza bidhaa na huduma za mwenzake.
Mkutano wa Mobile 360 - Africa ulilenga katika ushirikwishaji wa kidijitali, mtandao na ubora wa kiwango.
Kampuni ya Tigo inawaletea 'Vifurushi vya Fiesta, vifurushi vya miito na data msimu huu wa Fiesta.
Kampuni ya Tigo Tanzania leo imetangaza kuwa itakuwa mdhamini mkuu wa tamasha la Fiesta
Kurasa 9 ya 12
Hakimiliki © 2021 - Tigo Tanzania