Halichachi | Tigo Tanzania


Halichachi


Halichachi

Vifurushi vimetengenezwa mahususi ili kuwapa uhuru wateja kutumia vifurushi vyao mpaka viishe bila kujali muda. Sasa mteja ataweza kufurahia dakika SMS na MBs bila wasi wasi wa muda kuisha kabla hujamaliza kifurushi chake

Kifurushi hiki ni kwa wateja wote wa malipo ya kabla.

 

 Hivi ndio vifurushi vya HALICHACHI

BEI JUMLA YA DAKIKA TIGO MITANDAO MINGINE SMS INTANETI
TZS 1,000 25 23 2 50 MB 5
TZS 1,000 12 2 10 50 MB 5
TZS 5,000 135 125 10 100 MB 25

 

Vifurushi vya Halichachi vya intaneti

Bei Intaneti
TZS 2,000 MB 150
TZS 3,000 MB 400

Jiunge kwa kupiga *148*00# -> 4. HALICHACHI

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo