Uber | Tigo Tanzania

 Uber

Uber Benki kwenda kwa wallet / pochi:

 

Mteja anapata vocha ya Uber ya Tshs 3,000 anapohamisha pesa kutoka benki yoyote kwenda kwa akaunti ya Tigo Pesa

Mteja anaruhusiwa kufanya muamala mmoja tu kwa mwezi katika kipindi cha promosheni

 

Hakuna gharama za ziada

 

Muamala lazima uwe wa TSH 10,000 na zaidi

 

Mteja anapofanikiwa kufanya muamala kutoka benki kwenda kwenye wallet/pochi atapokea vocha atakayotumia pale atakapohitaji huduma za Uber kwa kuingiza namba ya vocha kwenye Uber App

 

Promosheni itadumu kwa kipindi cha mwezi mmoja.  

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo