Huduma ya Niwezeshe | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 Huduma ya Niwezeshe

Huduma ya Niwezeshe:

Huduma ya Niwezesha ni huduma inayotolewa na Tigo kumuwezesha mteja kupata mkopo wa salio la muda wa maongezi au kifurushi pindi anapokuwa hana salio la kutosha. Huduma hii hupatikana kwa wateja wa Tigo waliokidhi vigezo vya kupata mkopo huu.

Wateja gani wanaweza kupata Mkopo:

  1. Wateja wote wa Tigo wa huduma ya malipo ya kabla.
  2. Wateja wote wa Tigo walio katika mtandao wa Tigo angalau ndani ya Siku 90.
  3. Mteja ameongeza salio la muda wa maongezi wa Tsh2000 kwa mwezi ndani ya miezi 3 mfululizo.

Upatikanaji wa huduma:

Kupitia IVR na Menyu ya *147*00#, *148*00#, *149*49#

Vigezo na Masharti:

Maswali na Majibu:

  Huduma ya Niwezesha ni nini?

Huduma ya Niwezesha ni huduma inayotolewa na Tigo kumuwezesha mteja kupata mkopo wa salio la muda wa maongezi au kifurushi pindi anapokuwa hana salio la kutosha. Huduma hii hupatikana kwa wateja wa Tigo waliokidhi vigezo vya kupata mkopo huu.

  Wateja gani wanaweza kupata Mkopo wa Niwezeshe?

1. Wateja wote wa Tigo wa huduma ya malipo ya kabla

2. Wateja wote wa Tigo walio katika mtandao wa Tigo angalau ndani ya Siku 90

3. Mteja ameongeza salio la muda wa maongezi wa Tsh2000 kwa mwezi ndani ya miezi 3 mfululizo.

  Nawezaje kupata huduma hii?

Kupitia IVR na Menyu ya *147*00#, *148*00#, *149*49#

  Vigezo gani vinaniwezesha kupata huduma ya Niwezeshe?

1.  Huduma ya Tigo Niwezeshe inapatikana kwa wateja wote wa Tigo waliokidhi vigezo vya kupata mkopo wa Tigo Niwezeshe

2. Wateja waliokidhi vigezo vya kupata mkopo wanaweza kupata huduma hii kupitia menyu ya *147*00# and *148*00# na *149*49#

3. Wateja waliopata mkopo wa Tigo Niwezeshe wa salio la muda wa maongezi wanaweza kutumia salio hilo kununua vifurushi vya Tigo au kutumia salio hilo bila kifurushi katika gharama za viwango vilivyowekwa

4. Wateja wanaweza kuangalia mikopo yao, vifurushi vya mkopo au mikopo ya muda wa maongezi kupitia *147*00# and *148*00# na *149*49#

5. Huduma ya Tigo Niwezeshe inapatikana kwa wateja wote wa Tigo wa waliokidhi vigezo vya kupata Mkopo

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo