Huduma ya Uhifadhi Data | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

Huduma ya Uhifadhi Data
Huduma ya Uhifadhi Data

Huduma ya Uhifadhi Data

Linda kazi zako muhimu kwa kutumia usalama wa kipekee na uhakika. Pia, utakuwa na uwezo wa kuingia kwenye mtandao inayokutanisha makampuni na wafanya biashara kiurahisi na kiusalama.

Mahitaji yatakayo hitajika katika biashara yako

 • Ulinzi wa data zako kwa kiwango cha juu cha usalama na uwangalizi
 • Upatikanaji wa mazingira muhimu ambapo mitandao muhimu, kampuni washirika wa biashara wataunganika.

Umuhimu kwa biashara yako

 • Bei rahisi Ina nguvu ya uhakika na mitambo ya upoozaji iliyoundwa vizuri na kufanya kazi kwa ufanisi.
 • Usalama wa kisasa unapatikana kwa kutumia CCTV, kadi za kuchanja na sense

Umuhimu wa huduma

 • Vituo vyetu ni vya daraja namba moja vya data ukanda huu
 • Inapatikana kwa uhakika kwa kiwango cha asilimia 99
 • Utaalam wa kuunda na kutoa msaada kwa mfumo wenye uwezo mkubwa
 • Wataalam wetu hutumia teknolojia ya kieletroniki kuingia kwenye chumba cha habari
 • Usalama wa uhakika ndani ya jengo.

Vipengele vingine

 • Ufanisi wa mitambo ya upoozaji ulio imara kwa mitambo mikubwa.
 • Hutumia nishati na Tigo kwa iyo kuna uhakika wa upatikanaji wa nishati
 • Inaendana na viwango vya operesheni ya vituo vya TIGO na mahitaji ya biashara zote

Jaza fomu hapo chini ili kuwasiliana nasi kwa maelezo zaidi.

Wasiliana Nasi

Simu

Simu

Namba ya Simu: +255 713 800 012

Huduma kwa Wateja: 100

 

Mahali

Mahali

MIC Tanzania Limited,

DERM COMPLEX, New Bagamoyo Rd,

P.O. Box 2929, Dar es Salaam, Tanzania.

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo