Huduma za APN Kwa Makampuni | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

Huduma za APN kwa Makampuni
Huduma za APN kwa Makampuni

Huduma za APN kwa Makampuni

Suluhisho ya APN ya makampuni kutoka kwa Tigo Biashara huweza kufaidi biashara yako kwa kuongeza tija na ufanisi. Wasiliana na Tigo Biashara leo kujua zaidi.

Faida kwa Biashara yako

  • Njia rahisi ya kuunganisha matumizi yako ya simu ndani ya kampuni yako.
  • Uwezo wa kuunganisha mashine zilizoko mbali kama ATM,POS, magari na mashine nyingine za kazi.
  • Njia rahisi ya kutumia nyaraka na program za ofisi ukiwa mbali na ofisi.
  • Unaweza kuunganishwa na ofisi ukiwa mahali popote duniani kwa njia salama na ya kipekee.

 

Faida za Huduma

  • Njia salama ya usambazaji kwa sababu nyaraka zako hazitatumia inteneti ya umma bali itatumia njia salama ya mtandao wa tiGo’s MPL5 na hivyo kuzuia uhalifu.
  • Kuongeza nafasi za kufanya biashara kwa kuongeza mtandao wa ndani wa biashara yako kwa kutumia mtandao wa tigo ulio enea sehemu nyingi.
  • Njia rahisi ya kupunguza gharama kwa kujumuisha matumizi na bei za ofa.

Jaza fomu hapo chini ili kuwasiliana nasi kwa maelezo zaidi.

Wasiliana Nasi

Simu

Simu

Namba ya Simu: +255 713 800 012

Huduma kwa Wateja: 100

 

Mahali

Mahali

MIC Tanzania Limited,

DERM COMPLEX, New Bagamoyo Rd,

P.O. Box 2929, Dar es Salaam, Tanzania.

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo