Huduma za Kibinafsi | Tigo Tanzania

Tigo inakuwezesha kupata huduma binafsi za taarifa kuhusu akaunti yako kwa urahisi na haraka. Kwa nini upige simu huduma kwa wateja au kwenda kwenye maduka ya tigo yaliyopo karibu yako wakati hakuna haja?

Angalia mpangilio wa huduma binafsi zinazo kuwezesha kupata taarifa mbali mbali za akauti yako

Huduma kwa malipo ya kabla

Namba Maelezo
*102# Angalia salio la malipo ya kabla
*102*01# Angalia salio la kifrushi cha dakika
*104*Tarakimu zilizofichwa# Kuongeza Salio
Piga 104 Kuongeza salio
*147*102# Kuangalia Salio
100 Huduma kwa Wateja
*930# Angalia Namba yako ya simu
*101* [ingiza namba ya mpokeaji] * [kiasi] # Kuhamisha muda wa maongezi
*147*00# Kununua Vifurushi
*150*01# Tigo Pesa

Huduma za data

Namba Maelezo
*102*02# Angalia Salio la data
*147*00# Kununua Vifurushi

Huduma za Tigo Pesa

Namba Maelezo
*150*01# Huduma ya Tigo pesa

Huduma za Malipo ya baada

Namba Maelezo
*102# Angalia salio la data
*102*02# Angalia salio la data

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo