Simu na SMS | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 Simu na SMS

Tigo Biashara inawapa wafanyabiashara wa ukubwa wowote suluhisho la simu na meseji za bei nafuu. Kutoka Laini Tuli ya Sauti na Matumizi Binafsi kwa Vikundi mpaka Vifurushi vya Malipo ya Kabla, Kutumia Tigo Nje ya Nchi na Meseji za Wingi. Tigo Biashara itakusaidia kubuni suluhisho la mawasiliano itakayofanya biashara yako ifikie mahitaji yake.

 

Simu na SMS

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo