Infotainment | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 Infotainment

Kuhusu Infotainment:

Huduma hii inampa mteja urahisi wa kupata jumbe fupi za Vichekesho na Mapenzi kwenye simu yake kila siku. Mteja anatakiwa kujiunga na huduma hii na atapokea jumbe katika simu kila siku.

Jinsi ya Kujiunga huduma ya Infotainment:

Piga 901653333 na ufuate maelekezo ya jinsi ya kujuinga.

Jinsi gani naweza kujitoa katika huduma ya Infotainment:

Kujiondoa kwenye huduma mteja anaweza kutuma neno ONDOA kwenda 15688

Vigezo na Masharti:

Maswali na Majibu:

  Infotainment ni huduma gani?

Huduma hii inampa mteja urahisi wa kupata jumbe fupi za vichekesho na mapenzi kwenye simu yake kila siku. Mteja anatakiwa kujiunga na huduma hii na atapokea jumbe katika simu kila siku 

  Jinsi gani naweza kujiunga huduma ya Infotainment?

Piga 901653333 na ufuate maelekezo ya jinsi ya kujuinga.

  Jinsi gani naweza kujitoa katika huduma ya Infotainment?

Kujiondoa kwenye huduma mteja anaweza kutuma neno ONDOA kwenda 15688

  Vigezo gani vinaniwezesha kupata huduma hii?

Huduma hii ni kwa ajili ya wateja wa Tigo wa malipo ya awali tu

  Zipi gharama za huduma hii?

Huduma hii ina gharama ya Tsh 100 kwa siku

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo