Intanet ya Ofisini | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

Intanet ya Ofisini
Intanet ya Ofisini

Intanet ya Ofisini

Enjoy business function connectivity from anywhere with Office Internet from Tigo Business.

Mahitaji ya biashara yako:

  • Vifurushi vikubwa vya data
  • Applications zenye uhitaji kwa bishara yako
  • Mtandao mwendokasi wa 4G

 

Manufaa kwa biashara yako:

  • Urahisi kujiunga kutokea popote
  • Kuunganisha wafanya kazi na shuhuli za kazi
  • Data bando zenye bei nafuu

Bei (inc. tax)

GBs

              175,000

200

              250,000

300

 

 

Manufaa ya bidhaa:

  • Vifurushi vya data vya bei nafuu
  • Pata router bure

Jaza fomu hapo chini ili kuwasiliana nasi kwa maelezo zaidi.

Wasiliana Nasi

Simu

Simu

Namba ya Simu: +255 713 800 012

Huduma kwa Wateja: 100

 

Mahali

Mahali

MIC Tanzania Limited,

DERM COMPLEX, New Bagamoyo Rd,

P.O. Box 2929, Dar es Salaam, Tanzania.

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo