Intaneti Binafsi | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

Intaneti Binafsi
Intaneti Binafsi

Intaneti Binafsi

Tigo biashara inahakikisha wateja wake wanapata matumizi bora ya intaneti. Kwa kutumia intaneti binafsi kutoka tigo biashara wateja wetu watapata mtandao bora na wenye spidi, upatikanaji bora hewani na muunganisho wa program zako za kibiashara na kua na amani

Manufaa kwa Biashara Yako

  • Una unganishwa na intaneti moja kwa moja bila kushirikishwa na wateja wengine.
  • Chagua uwezo utakayo kukidhi na mahitaji yako kuanzia 1 Mbps

Faida za Huduma

  • Kuunganishwa kwa kutumia teknolojia ya mkonga wa mawasiliano au mawimbi (leseni na leseni) hadi mwisho wa huduma
  • Usalama wa njia zako za mawasiliano kwa kutoa msaada wa masaa 24 ndani ya siku 7 kupitia NOC’s
  • Tunatoa ripoti za malipo zilizorahisi kusomeka
  • Tunatoa huduma bora za SLAs kwa kutumia intaneti binafsi kutoka kwetu Tigo

Jaza fomu hapo chini ili kuwasiliana nasi kwa maelezo zaidi.

Wasiliana Nasi

Simu

Simu

Namba ya Simu: +255 713 800 012

Huduma kwa Wateja: 100

 

Mahali

Mahali

MIC Tanzania Limited,

DERM COMPLEX, New Bagamoyo Rd,

P.O. Box 2929, Dar es Salaam, Tanzania.

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo