Intaneti FAQs | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..


Intaneti FAQs

 • Gharama ya kila siku TZS 99 tu.
 • Gharama za kila wiki TZS 399 tu
 • Piga *148*01*4*02#.
 • Chagua 00 kuendelea
 • Bonyeza *Marekebisho ya akaunti.
 • Kisha 1 kujitoa.
 • Rudi juu.
 • Kiwango bora cha data kwa bei nafuu.
 • Kifurushi cha data cha Usiku ambacho kinampa nafasi mteja kutumia kati ya 11 usiku hadi 5 alfajiri kwa siku mbili.
 • Mteja anaweza kujiunga muda wowote.
 • Kinaweza kutumika kwenye simu yoyote yenye uwezo wa intaneti.
 • Vituo vyetu vya mauzo sasa vinaweza kuuza vifurushi vya data kwa malipo ya wazi kama inavyoonekana hapo juu.
 • Angalia Salio kupitia *102*02#.
 • Piga *148*00 #
 • Chagua namba 5 "Vifurushi vya Internet"
 • Kisha chagua namba 1 chini "Aina ya Kifurishi" kwa kifurushi unachopenda.

4G au LTE (Long Term Evolution) ni intaneti mpya yenye kasi na ubora wa kiwango cha juu. Ukiwa na intaneti ya 4G utakuwa na uhakika zaidi wa kuwasiliana na kujiepusha na usumbufu wa kukata kwa intaneti. 

 • 4G ina matumizi mengi zaidi ambayo yanaweza kutumika kwenye simu bila kigugumizi.
 • Uwezo wa kubadilishana mafaili na kupaitia vyombo vya habari mtandaoni kwa kasi na kwa wakati.
 • Uwezo wa kufikisha data zinazohitajika ndani ya muda mfupi.sactions.

Unapaswa kuwa kwenye eneo lenye 4G/LTE, laini ya 4G/LTE, kifaa kinachoweza kutumia 4G/LTE na kuwa na kifurushi cha 4G/LTE ili kufurahia huduma hii.

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo