Personal Insurance - Bima Mkononi | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 Personal Insurance - Bima Mkononi

Jana Leo na Kesho:

Jana Leo na Kesho ni promosheni mpya ya Tigo Pesa ambayo inawapa wateja bonus za pesa, dakika, SMS na MBS pale wanapofanya miamala ya Tigo Pesa kama Kununua vifurushi, Kulipa bili, kufanya manunuzi, kupokea pesa kutoka Benki, kutuma pesa kwa mteja wa Tigo Pesa aliyesajiliwa, kupokea pesa kutoka kwa mtandao wowote au Kupokea pesa kutoka nchi zingine.

Kampeni hii iko wazi kwa wateja wote wa Tigo Pesa kote nchini.

Promosheni hii itaanza kutoka 8 Machi hadi Tarehe 16 Mei


Mawali na Majibu:

  Kampeni ya Jana Leo na Kesho ni nini?

Hii ni promosheni mpya ya Tigo Pesa ambayo inawapa wateja bonasi za kurudisha pesa, dakika, SMS na MBs kila siku, pia nafasi ya kushinda TSh Milioni 1 kila wiki na zawadi kubwa ya TSh Milioni 10, mwisho wa promosheni hiyo

  Je! Ninashirikije katika zawadi za kila siku?

Fanya miamala ya  Tigo Pesa kama kununua vifurushi , kulipa bili,kufana manunuzi, kupokea pesa kutoka Benki, kutuma pesa kwa mteja wa Tigo Pesa aliyesajiliwa, kupokea pesa kutoka kwa mtandao wowote au Pokea pesa kutoka nchi zingine, kila siku (kutoka saa 2.00  hadi saa 4.00 asubuhi)

  Je! mtu yeyote anayeweza kupata bonasi hii?

Mtu yeyote anayefanya miamala iliyotajwa kwenye muda uliotajwa atapata bonasi.

  Je! Mimi nitapata bonasi kwa kila muamala?

Unapokea tu bonasi kwa miamala wa  kwanza ya siku.

  Je! Nitaweza kupata bonasi siku inayofuata?

Ndio, utapokea bonasi kwa muamala wa kwanza wa kila siku.

  Ninaweza kupata wapi habari juu ya promosheni?

Wasiliana na Huduma kwa wateja Simu 100, Tembelea duka lolote la Tigo karibu nawe au tembelea tovuti yetu.

  Ninaweza kupata wapi sheria na vigezo ya pomosheni hii?

Tembelea tovuti yetu kupata Vigezo na masharti.

Vigezo na Masharti:

  • Miamala ambayo itarudisha Bonasi ya pesa na kupata nafasi ya kushinda kila wiki na zawadi kubwa ni Malipo ya bili, kufanya manunuzi kupokea Pesa kutoka Benki, kutuuma pesa kwa mteja aliyesajiliwa wa Tigo Pesa, kupokea pesa kutoka kwa mtandao wowote, kupokea pesa kutoka nchi zingine.
  • Wateja wanapata bonasi za kurudishiwa pesa wanapofanya miamala ya Tigo Pessa kati ya saa 2:00 asubuhi hadi 4.00 asubuhi Kila siku.
  • Mteja anapata bonasi ya kurudishiwa pesa kwenye muamala wa Kwanza ya siku.
  • Promosheni hii itaanza kutoka 8 Machi mpaka 16 Mei

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo