Jaza Ujazwe inakupa zaidi kwa bei ile ile. Kila uongezapo muda wa maongezi utapewa bonus hata kama haujajiunga na kifurushi chochote
Ili kuingia katika droo, pata bonus na Jaza Ujazwe za:
- Dakika, SMS na MB za Bure
- Vifurushi vya YouTube na WhatsApp
- Muda wa maongezi
Kupata Bonus Ongeza salio kwa:
- Vocha
- TigoPesa
- TigoRusha
- Kununua kifurushi kwa TigoPesa au TigoRusha
Hakuna Kujiunga!
Vigezo na Masharti
1. Ofa iliyozinduliwa ya Jaza Ujazwe kwa wateja wa malipo ya kabla, tarehe 16 Mei 2017.Inakupa nyongeza ya ziada ya dakika,SMS,MB au muda wa maongezi unapoongeza kiasi cha salio. Ukubwa wa kiasi cha salio utakaloongeza (lililozaidi yaTsh 1000) ndivyo ukubwa wa ofa ya ziada itakayoongezwa.
2. Ofa ya ziada itakayotolewa na promosheni ya Jaza Ujazwe inatambulika kama bidhaa kwa mteja itakayo tumika kwa atakayeitumia (aliyekuwa binadamu wa kawaida) kupiga simu,kutumia data au kutuma ujumbe wa SMS kwa mtumiaji mwingine (aliyekuwa binadamu wa kawaida),kwa dhumuni la kurahisisha mawasiliano baina yao.
3. Ofa ya Jaza Ujazwe haitoweza kutumika kwa matumizi ya kibiashara au ndani ya huduma za SMS za wingi.Kwa matumizi yaliyo mbali na hayo,kwa ofa hii yata kusudiwa kama ya kibinafsi, yasiyo ya kibiashara na endapo matumizi yata kuwa mbali na ya kibinafsi yata kusudiwa kama matumizi mabaya kwa huduma hii.
4. Tigo ina mamlaka ya kusitisha huduma hii kipindi kutakuwepo na tukio la kutuhumiwa kwa matumizi mabaya kwa vifaa visivyo na hadhi ya matumizi kama ilivyothibitishwa na kamati ya TCRA ,kutumiwa kwenye mtandao wa Tigo.
5. Ofa ya Jaza Ujazwe zinapatikana kwa wateja binafsi. Wateja wa Mikataba ya mashirika na wa malipo ya baadae wahusiki.
6. Wafanyakazi wa Tigo ,washirika wao na ndugu zao wakaribu wa familia wana weza tumia ofa ya JazaUjazwe.
7. Tigo watatoa aina za ofa za Jaza Ujazwe zilizo binafsi kwa kila mteja.
8. Wateja wanaweza furahia ofa ya Jaza Ujazwe kwa muda wowote wanapoongeza salio la Tsh 500 na zaidi.
9. Wateja wanaweza furahia thamani ya ziada ya ofa ya Jaza Ujazwe wanapoongeza salio la Tshs 1000 na zaidi.
10. Wateja wanaweza ongeza salio mara nyingi na kupokea ofa ya ziada ya Jaza Ujazwe.Sheria ya matumizi kwa siku ni mara 4.
11. Wateja wa malipo ya kabla wanao nunua vifurushi kwa njia ya Tigo Pesa au Epin (TigoRusha) watapokea ofa ya ziada ya Jaza Ujazwe.
12. Tigo wanayo mamlaka ya kubadili viwango vya ofa panapokuwa na ulazima.
13. Iwapo mteja atakuwa na kifurushi na kupokea ofa ya ziada kutoka promosheni ya Jaza Ujazwe,ofa ya ziada itatumika mpaka itakapoisha kabla kifurushi kilichokuwepo haki jaanza kutumika.
14. Ofa zote za Jaza Ujazwe ni halali kwa ofa husika,kama itakavyotambulishwa kwenye kila uthibitisho wa ofa ya ziada uliotumwa.
15. Ofa ya ziada ya Jaza Ujazwe haiwezi hamishwa.
16. Salio la kuhamishwa halite kidhi kuunganishwa na promosheni ya Jaza Ujazwe.
17. Kipindi ofa ya ziada ya Jaza Ujazwe itakapomalizika au kuisha muda wake basi viwango vya kawaida vya vifurushi vitarejeshwa (sawa na orodha yako ya viwango vya malipo).
18. Kuangalia salio lako la Jaza Ujazwe
- Kwa Dakika,SMS : Piga *102*01#
- Kwa MB,Mudawamaongezi, WhatsAppna YouTube : Piga *102*02#
19. Tigo inaweza badili sheria na masharti kwa kutoa taarifa ya kuridhisha ya mabadiliko husika.
20. Kama utaongeza salio chini ya Tsh 500 hautopata nafasi ya kunufaika na promosheni ya JazaUjazwe.
21. Wateja wenye vifurushi wanaweza nufaika na ofa ya JazaUjazwe.
22. Wateja wenye mikopo (TigoNiwezeshe)
- Wanapo ongeza salio deni litapunguzwa
- Ofa ya ziada ya JazaUjazwe litatolewa baadaye
23. Kujitoa
Kwakuwa promosheni haiitajikujiunga, hamnakujitoa, ila kama mteja anataka kutohushishwa na promosheni ya JazaUjazwe anaweza kuwasiliana na huduma kwa watejakwa kupiga namba 100.
24. Muda wa matumizi wa ofa iliyopokelewa itakuwa kama ilivyoelezwa kwenye ujumbe wa uthibitisho, na hakutokuwa na mkusanyiko wa ofa ya ziada mbali na muda wake wa matumizi.
25. Kiasi cha ofa ya nyongeza kitakachokuwa kimepokele wa kutoka kwenye promosheni hii hakitoweza kutumika kwenye data ya roaming.
26. Kiasi cha ofa ya ziada kilichopokelewa kutoka kwenye promosheni ya JazaUjazwe kitaweza kutumika kwenye mawasiliano ya WhatsApp, kupakua na kutuma video kwa muda husika, kipindi ofa ya ziada itakapoisha , gharama za kawaida za data zitatumika au salio la kifurushi kilichobaki.
27. Ofa za ziada za viwango vya matumiz ivya YouTube vilivyopokelewa kutoka JazaUjazwe kitatumika kuangalia video za YouTube tu kwa muda husika, kipindi ofa itakapomalizika , gharama za kawaida au salio la kifurushi lililobaki litatumika