Kitabu App | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 Kitabu App

Kitabu app ni mfumo wa kielektroniki uliotengenezwa kuwezesha watu kupitia, kusoma, kusikilizana kupakua vitabu tofauti kutoka kwa waandishi mbalimbali sehemu zote Afrika Mashariki na Duniani kiujumla.

Vipengele

  • Chagua kusoma moja kwa moja kwenye,tandao aune ya mtandao.
  • Ina lugha mbili, unaweza kuchagua Kiswahili au Kingereza.
  • Inapatikana kama PDF au EPUB.
  • Pitia/Kagua vitabu bure kabla ya kupakua.
  • Mfumo wa Curl unaowezesha kuleta maudhuikama unafungua kurasa.
  • Kiwango bora cha sauti kwa vitabu simulizi.
  • Pitia vitabu tofauti kutoka kwa waandishi wakitaifa na kimataifa.
  • Nunu vitabu kwa nusu bei yake endapo utanunua dukani.
  • Pata taarifa ya vitabu vipya au hadithi zilizotoka.

 

 

Ipakue App:- 

 

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo