Kupiga Simu Masaa ya Kazi Bila Kikomo | Tigo Tanzania

Kupiga Simu Masaa ya Kazi Bila Kikomo

Kupiga Simu Masaa ya Kazi Bila Kikomo

Ongea na wateja wako bure kabisa mida ya kazi kwanzia Saa Mbili asubuhi mpaka Saa Kumi na Moja jioni.

Mahitaji Biashara Yako inaweza kuwa nayo:

  • Huduma za sauti and ujumbe mfupi wa maneno 
  • Huduma za CUG
  • Intaneti yenye kasi ya 4G

Faida kwa Biashara Yako:

  • Dakika za bure kupiga Tigo kwenda mitandao mingine Tanzania mida ya kazi
  • Data zaidi

 

Jaza fomu hapo chini ili kuwasiliana nasi kwa maelezo zaidi.

Wasiliana Nasi

Simu

Simu

Namba ya Simu: +255 713 800 012

Huduma kwa Wateja: 100

 

Mahali

Mahali

MIC Tanzania Limited,

DERM COMPLEX, New Bagamoyo Rd,

P.O. Box 2929, Dar es Salaam, Tanzania.

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo