Kutumia Tigo Nje ya Nchi | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..Tumia Tigo Nje ya Nchi


Tumia Tigo Nje ya Nchi

Baki na mwasiliano hata pale unaposafiri nje ya Tanzania na huduma hii. Piga na kupokea simu na meseji, na hata kutumia intaneti ya Tigo katika nchi zigine. Tumia kifaa kilichopo hapo chini kuchagua nchi utakayofikia alafu angalia viwango vya kutumia Tigo kwenye nchi hiyo kwa kupitia mitandao shirkishi. 

Jinsi ya Kutumia Tigo nje ya Nchi

1.       Pale ufikapo nchi ya nje, washa simu yako

2.       Simu nyingi huwa zinashika mtandao wenye nguvu zaidi moja kwa moja  

3.       Kama simu yako haitashika mtandao, au unataka kubadili kwenda mtandao mwingine uliopo, badilisha mazingira ya mtandao kwenye simu yako kuchagua mtandao uutakao.

Angalia Bei kwa Nchi
Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo