Kutumia Tigo Pesa | Tigo Tanzania

 Kutumia Tigo Pesa

Tigo pesa ni zaidi ya kutuma na kupokea pesa. Ni huduma ya kifedha inayo rahisisha maisha yako.

NiTigoPesa Ikielezewa na Dr Digital

Ni nini kinachoitofautisha Tigo Pesa na huduma zingine? 

1       Ni Tigo Pesa pekee iliyo na app ya kisasa inayorahisisha miamala zako za malipo na kupokea pesa kupitia simu za mkononi pamoja na kukuwezesha kuzifanya kwa kasi zaidi!

2.      Tigo inakulipa riba. Tangu Julai 2014, watumiaji wa Tigo Pesa wamelipwa zaidi TZS 63.58 Billion kama riba.

3.      Ukitumia Tigo Pesa, unaweza kutuma na kupokea pesa kwenda kwa au kutoka kwa watu wengi zaidi na biashara nyingi zaidi kuliko huduma nyingine, wakiwemo watumiaji wote wa MPesa, Airtel Money na EzyPesa. Fanya malipo kwa zaidi ya wafanyabiashara 300,000.

 

Kutumia Tigo Pesa

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo