Benki kwenda kwenye waleti | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 Benki kwenda kwenye waleti

Benki kwenda kwenye waleti

Furahia hadi TSh 10,000 unapopokea TSh 200,000 au zaidi kutoka Benki kuingia kwenye akaunti ya Tigo Pesa. Kujiunga na hii OFA bure, Piga *150*01# kisha 9.

Kwakuwa utaipata Huduma hii kwenye simu yako, utaepuka shida ya kutembea na pesa nyingi. Unaweza kuitumia pesa hii kulipa bili au kufanya manunuzi au kutumia mtu mwingine . Huduma hii ya kuhamisha pesa kuingia kwenye akaunti yako ya Tigo pesa inarahisisha Maisha katika kipindi cha dharura.

1

Tigo Pesa


 • 1 Kutuma Pesa
 • 2 Muda wa maongezi & vifurushi
 • 3 Kutoa Pesa
 • 4 Lipa Bili
 • 5 Lipa Bidhaa
 • 6 Jihudumie (Akaunti yangu)
 • 7 Huduma za kifedha
 • 8 Change language

2

Huduma za kifedha


 • 1 Tigo pesa kwenda Benki
 • 2 Benki kwenda Tigo Pesa
 • 3 Tigo Bima
 • 4 UMOJA ATM
 • 5 Selcom Pay

3

Benki kwenda Tigo Pesa


 • 1 CRDB
 • 2 NMB
 • 3 TPB
 • 4 BOA
 • 5 ACB
 • ... ....
 • 13 Benki Nyingine
 • # Menyu Kuu

4

Benki Nyingine


 • 1 Stan Chart
 • 2 Amana
 • 3 CBA
 • 4 I&M
 • 5 Mkombozi
 • ... ...
 • 10 Benki Nyingine
 • # Menyu Kuu

5

Benki Nyingine


 • 1 ECO
 • 2 FINCA
 • 3 PBZ
 • 4 Pay Bills
 • 5 Yetu Bank
 • # Menyu Kuu


 

Maswali na Majibu:

  Nani anastahili kupata OFA hii

OFA hii ni kwa ajili ya wateja wa Tigo Pesa wanaopokea pesa kutoka benki.

  OFA hii itadumu kwa muda gani

OFA hii itadumu mpaka tarehe 31 December ambapo  muda wake uunaweza ongezwa zaidi

  OFA hii ina zawadi gani

OFA hii imegawanyika katika vipengele vifuatavyo
o Mteja anayehamisha Tshs 200,000-499,999 atarudishiwa Tshs 2,000 papo hapo
o Mteja anayehamisha Tshs 500,000-999,999 atarudishiwa Tshs 4,000 papo hapo
o Mteja anayehamisha Tshs Mil 1 au zaidi atarudishiwa Tshs 10,000 papo hapo

  Nahitaji kufanya nini nipate OFA hii

Unahitaji kujiunga kwa kupiga  *150*01# kisha uchague 9 ili upate OFA hii na kujiunga ni bure.

  Nifuate hatua zipi kuhamisha pesa kutoka benki

Ili kuhamisha pesa kutoka benki Fuata hatua zifuatazo
• Piga*150*01#
• Chagua 7 – Huduma za kifedha
• Chagua 2 – Benki kwenda Tigo Pesa
• Chaua benki yako kisha Fuata maelekezo kuhamisha pesa kutoka benki

  Nitapokea bonasi kwa kila miamala?

Mteja atapokea bonasi mara moja kwa siku kwa muda wote wa promoshen

  Je nikikosa bonasi nifanyeje

Ukikosa bonasi Tafadhali piga 100 huduma kwa wateja kwa msaada zaidi.

Vigezo na Masharti:

 • Promosheni hii inawahusu wateja wanaohamisha Pesa kutoka benki
 • Promosheni hii itaisha tarehe 31 March 2021
 • Kila mteja anayehamisha kuanzia Tsh 200,000 au zaidi kutoka benki Kuingia kwenye Akaunti yake ya Tigo Pesa atazawadiwa Tshs 10,000 papo hapo
 • Ofa hii anahakikishiwa mteja yeyote anayehamisha Pesa kuanzia Tshs 200,000
 • Mteja atapokea Zawadi hii mara moja kila siku kipindi hiki cha Promoshen.
 • Orodha za benki zilizojiunganisha na Huduma ya kuhamisha Pesa kuingia kwenye Tigo Pesa CRDB, NMB, Equity Bank, First National Bank, NBC, Stanbic Bank, UMOJA , Akiba Bank, Amana Bank, Standard Chartered, DCB Bank, Access Bank, Bank of Africa, Exim Bank, DTB Bank, ABSA Bank, KCB Bank, Mkombozi Bank, PBZ , TPB , IM Bank, CBA Bank, Maendeleo Bank, GT Bank, BancABC, ECO Bank ,TPB Bank, Yetu Bank, Letshego, FINCA, UBA Bank, Mwalimu Bank, NIC Bank MFI, Canara Bank, BOA.
 • Kujiunga na OFA hii piga *150*01# kisha chagua 9 ufuate maelekezo kujiunga bure. Kiasi chini yaTshs 200,000 hakitapata bonasi
 • Ili kuhamisha pesa kutoka benki kuingia kwenye akaunti ya Tigo Pesa mteja afuate maelekezo haya
  • Piga *150*01#
  • Chagua7 Huduma za kifedha
  • Chagua 2 Benki kwenda Tigo Pesa
  • Chagua benki yako
  • Fuata maelekezo kuhamisha pesa

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo