Kishindo cha Funga Mwaka | Tigo Tanzania

 Kishindo cha Funga Mwaka

Kishindo cha Funga Mwaka

  • Kishindo cha Funga mwaka ni Promosheni mpya ya Tigo Pesa inayompa mteja wa Tigo Pesa nafasi ya kushinda Tsh Milioni 1 kila siku, Tsh Milioni 5 kila wiki na zawadi kubwa ya  Tsh Millioni 20 kwa mshindi wa kwnza, Mililoni 15 kwa mshindi w pili na Milioni 10 kwa mshindi wa tatu mwishoni mwa Promosheni hii
  • Tunategemea kutoa jumla ya Milioni TSh 500,000,000 kwa wateja 331 ndani ya siku 36 mpaka tarehe 30 Disemba 2019 
  • Kishindo cha Funga mwaka  inawapa wateja nafasi wateja kushinda zawadi za Pesa Taslim, kwa kila miamala wa kuweka pesa na Tigo Pesa kuanzia TSh 10,000 na zaidi kama vile; kuweka pesa na wakala, kuhamisha Pesa kutoka Benki, Kupokea pesa kutoka nchi za nje, kupokea pesa kutokea mitandao mingine, kupokea Pesa zinazotokana na kubashir, ikupokea mkopo, na kupokea pesa kutoka malipo ya jumla.
  • Kila miamala kuanzia TSh 10,000 unakupa nafasi 1 ya kuingia kwenye droo.  Jiongezee nafasi kwa kufanya miamala yenye thamani kubwa zaidi.
  • Kujua una nafasi ngapi kuingia kwenye droo, Piga *150*01*10# 

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo