Promo ya benki kwenda Waleti | Tigo Tanzania

 Promo ya benki kwenda Waleti

Vigezo na Masharti

 • Promosheni hii inawahusu wateja wanaohamisha Pesa kutoka benki
 • Promosheni inaanza:kuanzia 15 March , 2019 mpaka 17 March 2019.
 • Kila mteja anayehamisha kuanzia Tsh Milioni moja na zaidi kutoka benki Kuingia kwenye Akaunti yake ya Tigo Pesa atazawadiwa Tshs 20,000 papo hapo
 • Ofa hii anahakikishiwa mteja yeyote anayehamisha Pesa kuanzia Tshs 1,000,000
 • Mteja atapokea Zawadi hii mara moja kila siku kipindi hiki cha Promoshen.

         Orodha za benki zilizojiunganisha na Huduma ya kuhamisha Pesa kuingia kwenye Tigo Pesa

           CRDB,NMB,TPB,BOA,ACB,NBC,ACCESS,STANBIC,FNB,BARCLAYS,KCB,EXIM,STANCHART,AMANA,CBA,I&M,

           MKOMBOZ,ABC,EQUITY,UMOJA SWITCH,ECO,FINCA,PBZ,MAENDELEO,YETU BANK.

  

 • Kiasi chini yaTshs 1,000,000 hakitapata bonasi
 • Ili kuhamisha pesa kutoka benki kuingia kwenye akaunti ya Tigo Pesa  mteja afuate maelekezo haya
  • Piga *150*01#
  • Chagua7 Huduma za kifedha
  • Chagua 2 Benki kwenda Tigo Pesa
  • Chagua benki yako
  • Fuata maelekezo kuhamisha pesa

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo