Kuunganisha Mawasiliano kwa Bei Rahisi | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

Least Cost Routing (LCR)
Least Cost Routing (LCR)

Least Cost Routing (LCR)

Unganisha simu zako mara moja kwa njia fupi yenye bei nafuu

Mahitaji Biashara yako inaweza kuwa nayo:

  • Okoa fedha hasa kwenye malipo ya gharama za mawasiliano kwa kila mwezi 
  • Kuruhusu simu kupitia njia yenye beinafuu zaidi

Faida kwa Biashara Yako:

  • Uokoaji mkubwa wa gharama za mawasiliano ya simu, ambapo kampuni inaweza kuokoa mpaka asilimia ishirini na nan (28%)
  • Gharama nafuu za ufungaji wa mitambo pamoja na utunzaji wa LCR router bure

 

Jaza fomu hapo chini ili kuwasiliana nasi kwa maelezo zaidi.

Wasiliana Nasi

Simu

Simu

Namba ya Simu: +255 713 800 012

Huduma kwa Wateja: 100

 

Mahali

Mahali

MIC Tanzania Limited,

DERM COMPLEX, New Bagamoyo Rd,

P.O. Box 2929, Dar es Salaam, Tanzania.

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo