Kuwa na Mpango Pata Simu | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 Kuwa na Mpango Pata Simu

Tumekusoma ndio maana Tigo inakupa ofa isiyo yakukosa kipindi hiki cha sikukuu. Nunua kifurushi cha mwezi kuanzia Tsh 17,000 na upate simu ya bure. Kuwa na mpango na uanze kufurahia simu yako leo.

Mipango iliyopo:

1 - Simu za Bure

Simu za Kawaida

 - Itel IT 2110 na bando ya TZS 25,000 upate MB 50, Dakika 50 na SMS 50

 - Maelezo ya Ziada: Lazima ununue bando kwa miezi 3 ndo upate simu bure.

 

Simu Janja

 - Tecno S1 na Tecno y3+ Music na bando ya : TZS 69,000 upate GB 1, Dakika 50  na SMS 50

- Maelezo ya Ziada : Lazima ununue kifurusgi kwa miezi 3 ndo upate simu bure


 

2. Malipo kwa awamu - Pata simu sasa, lipia baadaye

Unataka kumiliki simu janja na hutaki kulipia kiasi kamili sasa? Tuna mpango na meme: Chukua simu janja sasa Lipia Baadaye.

Na mpango huu unaweza kuchagua simu janja na ulipie kiasi cha mwanzoni: Utapata bando ya TIGO na simu janja.

Baada ya hapo,utanunua kifurushi kwa miezi 6 na utapata bando la Tigo na kila kifurushi

Usisubiri, angalia kama unavigezo kwa mpango huu, piga *147*00# na uchague "DEVICE SHOP"

Simu Janja

- TECNO S1 na bando la TIGO la GB 1, Dakika 100 za kupiga simu mtandao wa Tigo na SMS 100

- TECNO R6 na bando la TIGO la GB 3 data, Dakika 100 kupiga simu mtandao wa Tigo na SMS 100


 

3. Lipia kidogo kidogo - Lipia sasa,upate simu baadaye

Malipo ya kwanza yasipungue 20% ya beiya simu na uwezo wa kulipia kiasi chochote ndani ya miezi 3 au 6

Na mpango huu utaweza

  • Kujitoa muda wowote na kurudishiwa pesa zako
  • Kubadilisha uamuzi muda wwowote
  • Ofa yako itakatwa kama utashindwa kukamilisha malipo ndani ya muda uliopangwa na kiasi ulicholipwa kitarudishwa kwenye Tigo Pesa yako Simu zilizopo

Simu Zilizopo

iPhone 8  64 GB

iPhone 8 64 GB
TZS 1,999,999

Jua Zaidi
iPhone 8 Plus 64 GB

iPhone 8 Plus 64 GB
TZS 2,199,999

Jua Zaidi
Motorola Moto E4

Motorola Moto E4
TZS 249,999

Jua Zaidi

 
 

 

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo