Laini Tuli za Sauti | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

Laini Tuli za Sauti
Laini Tuli za Sauti

Laini Tuli za Sauti

Unganisha PBX mbalimbali au line za moja kwa moja na ufurahie kupiga simu ndani ya shirika lako bure kote nchini.

Mahitaji biashara yako inaweza kuwa nayo:

 • Kupunguza gharama za mawasiliano
 • Kuunganisha ofisi zilizoko sehemu tofauti
 • Mawasiliano yenye ulinzi

Faida kwa Biashara Yako:

 • Punguza gharama zako za mawasiliano kwa mpaka asilimia 20 (20%) kwa mwezi.
 • Piga simu bure kokote nchini kwa laini zote zilizosajiliwa chini ya shirika 
 • Unganisha PBX mbalimbali au line za moja kwa moja hata kwa maeneo tofauti ndani ya nchi
 • Upatikanaji wa number za PBX muda wote bila kutoa taarifa ya “number unayoipigia inatumika kwa sasa” jambo ambalo litachangia kwenye uongezekaji wa mapato ya shirika.
 • Matumizi ya fibre za kisasa ambazo zitaboresha mawasiliano
 • Mawasiliano yenye ulinzi

Faida za Bidhaa: 

 • Unaweza kupiga simu 30 kwa wakati mmoja
 • Furahia gharama nafuu za kupiga simu ndani ya nchi
 • Unganishwa na Optical Fiber
 • Uwezo wa kuona Anayekupigia simu, kudukuma simu, kuzuiwa simu, mkutano wa kwenye simu wa hadi watu 64 

Sifa za nyongeza:

 • Huduma zilizoboreshwa na za kisasa kote nchini
 • Uwazi katika malipo. Hakuna makato ya ziada.
 • Huduma za kisasa zilizotengenezwa kukimu mahitaji ya mtumiaji

Jaza fomu hapo chini ili kuwasiliana nasi kwa maelezo zaidi.

Wasiliana Nasi

Simu

Simu

Namba ya Simu: +255 713 800 012

Huduma kwa Wateja: 100

 

Mahali

Mahali

MIC Tanzania Limited,

DERM COMPLEX, New Bagamoyo Rd,

P.O. Box 2929, Dar es Salaam, Tanzania.

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo