Lamba Dume | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 Lamba Dume

MAELEZO KWA UJUMLA:

  • Mteja anaweza kupata ofa ya kwanza bila kuongeza salio.
  • Mteja anatakiwa kuongeza salio la kwanzia Tsh,1000 ili kupata ofa kwa mwezi unaofuata.
  • Namba ya simu na IMEI ya simu zitatumika kupata ofa mara moja tuu kila mwezi kwa miezi 12.
  • Mteja anaweza kununua simu kwa ajili yake na pia anaweza kumnunulia Rafiki.
  • Huduma hii ni kwa wateja wa malipo ya kabla tuu.

NAMNA YA KUFANYA MALIPO:

  • Piga *147*00# kisha chagua 10 duka la simu kisha chagua aina ya simu uipendayo na utalipia kwa Tigopesa.
  • Tembelea duka la Tigo lililo karibu nawe na utalipia kwa pesa taslim au Tigo Pesa.

JEDWALI LA SIMU

Kampuni Aina Bei Intaneti Muda
TECNO S2 74,900 GB3 Miezi 3
TECNO S2 95,000 GB48 Miezi 12
TECNO S3 74,900 GB3 Miezi 3
TECNO S3 95,000 GB3 Miezi 12
FREETEL SAKURA LTE 99,000 GB54 Miezi 12
ZTE KISS 3 150,000 GB60 Miezi 12
ALCATEL ONE 5033 D 149,999 GB60 Miezi 12
MOTOROLA MOTO E4 249,999 GB72 Miezi 12
TECNO CAMON 11 319,999 GB78 Miezi 12

MASWALI YA MARA KWA MARA


  Naweza kupata ofa hii kama mimi ni mteja wa malipo ya baada?

Ofa hii inapatikana kwa wateja wa malipo ya kabla tuu.

  Naweza kumnunulia Rafiki au ndugu wa karibu?

Ndio, Mteja anaweza kumnunulia Rafiki au ndugu wa karibu.

  Naweza kuendelea kupata ofa baada ya kupoteza simu yangu?

Mteja akipoteza simu ni lazima ajiondoe kwenye huduma kwa kutuma neno ONDOA kwenda 15005 ili aweze kupata ofa hiyo baada ya kununua simu nyingine.

  Nawezaje kupata ofa kila mwezi?

Mteja anatakiwa kuongeza salio kwanzia Tsh 1000 ya muda wa maongezi kila mwezi ili kupata ofa yake kwa mwezi unaofuata.

  Naweza kupata ofa hii Zaidi ya mara moja?

Ofa hii inapatikana mara moja kila mwezi kwa miezi 12.

  Naweza kupata ofa hii kwenye simu zote zinazouzwa kwenye maduka ya Tigo?

Ofa inapatikana kwa simu zote zilizokwenye jedwali la simu hapo juu.

  Nawezaje kupata ofa?

Mteja anaweza kujiunga kwa kupiga *147*00# kisha chagua namba 10 kwenye Smartphone + Intaneti BURE miezi 12 au Mteja anaweza kulipia kwa pesa taslimu akiwa kwenye Duka la Tigo.

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo