Lipa Watu Wengi | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 Lipa Watu Wengi

      Fungua akaunti ya utoaji pesa kwa Tigo Pesa uweze kufanya malipo kwa watu wengi kwa wakati mmoja kwa usalama na ufanisi zaidi nchini Tanzania. Akaunti ya utoaji pesa kwa Tigo Pesa ni bora kwa kulipa mishahara pamoja na malipo mengine ya mara kwa mara kwa vikundi vya watu.

·     Faida za kuwa na akaunti ya malipo kwa Tigo Pesa

1.       Hupunguza utegemeaji na upatikanaji wa benki na ATM kwenye maeneo ya vijijini. 

2.       Kutuma pesa kwa mtandao wowote nchini Tanzania ni suala la kubofya tu.

3.       Kwa kiasi kikubwa inapunguza hatari ya kusafirisha na kutuma pesa.

4.       Hupunguza gharama ya usimamizi wa malipo.

5.       Kufanya malipo ya uhakika. na

6.       Uthibitisho wa jina la mteja hutumwa kabla ya malipo kufanyika.

Kufungua akaunti ya utoaji ya Tigo Pesa, wasiliana na kitengo chetu chaa huduma kwa makampuni kwa kupiga simu 0713 123 103 au jaza fomu ya mawasiliano iliyopo hapo chini.

Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo