Lipa Bili | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 Lipa Bili

Kufanya Malipo na Tigo Pesa ni Rahisi

Lipia muswada yako mbalimbali kutoka sehemu tofauti kwa wakati wowote na Tigo Pesa. Kama una Smartphone tumia app ya simu ya Tigo Pesa kwa kasi na uaminifu zaidi. Kama hauna Smartphone, tumia njia rahisi zifuatazo.

1.       Piga *150*01# kupata huduma za Tigo Pesa.

2.       Chagua namba 4 - Lipa Bili.

3.       Chagua namba 3 - Ingiza Namba ya Biashara.

4.       Ingiza Namba ya Kumbukumbu.

5.       Ingiza kiasi unachotaka kulipa

6.       Ingiza namba yako ya siri na thibitisha muamala wako

Tafadhali hakiki gharama za huduma kabla hujafanya muhamala.Kwa msaada, piga 100 au tembelea Tigo Shops

UMEME

INTANETI & KUNUNUA MUDA WA MAONGEZI

MIKOPO

MIFUKO YA JAMII

UMEME WA JUA

TRA & MALIPO YA SERIKALI

USAJILI WA TV

TIGO

USAFIRI

BILI MAJI

UTT AMIS & HUDUMA ZA ELIMU

MANUNUZI

MALIPO YA MTANDAONI


Kama wewe ni mfanyabiashara na unataka kupokea malipo kwa Tigo Pesa, tafadhali sajili biashara yako.

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo