Magic Voice | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 Magic Voice

Kuhusu Sauti ya maajabu:

Sauti ya Maajabu inafurahisiha sana. Tania familia na marafiki zako kwa kubadilisha sauti yako ifanane na ya mtu mwingine, au badilisha mwonekano wako na sauti zinazokuzunguka kuwa za kufurahisiha.

Jinsi ya Kujiunga huduma ya Sauti ya maajabu:

Piga 0901656565 na ufuate maelekezo ya jinsi ya kujiunga.

Jinsi gani naweza kujitoa kwenye huduma ya Sauti ya maajabu: 

Kujiondoa kwenye huduma mteja anaweza kutuma neno ONDOA kwenda 0901656565.

Gharama za Huduma:

Huduma hii inatoza Tsh 99 kwa siku.

Vigezo na Masharti:

Maswali na Majibu:

  Huduma ya Sauti ya maajabu ni huduma gani?

Sauti ya Maajabu inafurahisiha sana. Tania familia na marafiki zako kwa kubadilisha sauti yako ifanane na ya mtu mwingine, au badilisha mwonekano wako na sauti zinazokuzunguka kuwa za kufurahisiha.

  Jinsi gani naweza kujiunga na huduma ya Sauti ya maajabu?

Piga 0901656565 na ufuate maelekezo ya jinsi ya kujiunga

  Jinsi gani naweza kujitoa kwenye huduma ya Magic Voice?

Kujiondoa kwenye huduma mteja anaweza kutuma neno ONDOA kwenda 0901656565.

  Vigezo gani vinaniwezesha kupata huduma ya Magic Voice?

Huduma hii ni kwa ajili ya wateja wa Tigo wa malipo ya awali tu

  Zipi gharama za huduma hii?

Huduma hii inatoza Tsh 99 kwa siku

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo