Iko wazi kwa wateja wote wa Prepaid na wateja wapya wanaotaka kujiunga na huduma ya Postpaid.
Unapaswa kutembelea moja ya maduka yetu ukiwa na mahitaji yote na tutakujazia fomu ya maombi tayari kwa kuanza. Kuunganishwa kwa kampuni kutahitaji kamati ya kampuni husika kutembembelea duka la tigo mara zaidi ya moja.
Mkataba ni kati ya miezi 18 na 24 ikitegemea mipango na mkataba unaweza kurejelewa.
Akaunti inaanza kufanya kazi punde tu vielelezo vyote vinavyohitajika vitakapokuwa vimewasilishwa na fomu ya maombi kuwa imejazwa.
Unapaswa kupiga namba 100; tunayo timu makini tayari kukuhudumia.
Unapaswa kutoa anuani ya barua pepe wakati wa kujaza fomu ya maombi, kupitia anuani hiyo bili zako zitatumwa kila mwezi.
Unaweza kutembelea duka letu lolote kwa malipo ya bili.
Ndio, unaweza kulipa bili kupitia Tigo Pesa kwa kutumia namba ya Wakala 13263 kama umesajiliwa Tigo Pesa na Benki.
Ndio unaweza kufanya malipo ya mbele ambayo yatahifadhiwa kwenye akaunti yako.
Ndio, namba ya sasa ya prepaid inaweza kutumika kwenye Postpaid na pia unaweza kupata namba hyo hiyo kutoka kwa mtoa huduma tofauti ikiwa na kodi namba mpya ya Tigo.
Watu Binafsi
Serikali, Shirika la umma na Balozi
Makampuni (Ushirika, Mashirika yasiyo ya kiserikali,Wafanyabiashara)
Ndio, unaweza kufanya mabadiliko na kinyume chake; ingawa mabadiliko yanazingatia vigezo na masharti ya Tigo.
Hakimiliki © 2022 - Tigo Tanzania