Tigo Kinara FAQs | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..


Tigo Kinara FAQs

Tigo Kinara ni huduma mahsusi inayomwezesha mteja kufurahia faida murua za kimaisha pamoja na ofa za kipekee za bidhaa na huduma.

 • Kupitia menyu ya *147*00#

  Piga *147*00# kisha chagua namba 11 - Vifurushi vya Kinara

 • Pakua App ya Tigopesa

  Chagua muda wa kifurushi unaotaka yaani siku, wiki au mwezi kisha chagua kitufe cha Mitandao Yote kupata Kifurushi cha Kinara unachokihitaji

 • Tembelea tovuti ya Tigo www.tigo.co.tz kisha chagua Tigo Kinara

Faida za Vifurushi vya Kinara

 1. Okoa Salio :

  Okoa Salio la kifurushi chochote ambacho hujakitumia kwenye kifurushi chako cha sasa cha Kinara pindi unaponunua kifurushi kingine cha Kinara.

 2. Ofa za Master pass:

  Furahia ofa maalum na punguzo la bei kutoka kwa wafanyabiashara waliosajiliwa kila unapolipa kwa mfumo wa Tigo Pesa Masterpass

Vifurushi vyote vya Kinara vya Mwezi na Wiki vinakuwezesha kuokoa salio lako lililobaki

Okoa salio ni huduma inayomruhusu mteja kuongeza ukomo wa salio la vifurushi vya Dakika, Intaneti, SMS na simu za kimataifa ikiwa watajisajili na kifurushi kingine kinachofanana na hicho kabla ya kutimia/kuisha kwa muda wa ukomo/ matumizi wa kifurushi kilichopita.

HAPANA, Unaweza tu kuOkoa Salio salio la kifurushi chako kabla ya kumalizika kwa muda wake wa ukomo.

HAPANA. Unaweza tu kuokoa salio la kifurushi chako pale unaponunua kifurushi kingine cha Kinara kilicho na muda wa ukomo unaofanana.

HAPANA. Unaweza tu kuokoa salio la kifurushi chako pale utakaponunua Kifurushi kingine cha Kinara kilicho na MUDA WA UKOMO UNAOFANANA. Ni Vifurushi vya Kinara pekee vinavyoweza kukuwezesha kuokoa salio la kifurushi kilichobakia.

NDIO. Unaweza kununua kifurushi chochote cha Kinara na kuokoa salio lililobaki ili mradi tu muda wa ukomo/matumizi wa vifurushi husika viwe vinafanana. Ni Vifurushi vya Kinara pekee vinavyokuweza Kujumuishwa.

NDIO. Kuna ukomo wa mwisho wa salio unaoruhusiwa kuokolewa/kujumuishwa. Tafadhali soma Vigezo na Masharti kwa maelezo zaidi.

Tigo Pesa Masterpass ni njia rahisi ya kufanya malipo katika maduka na watoa huduma kadhaa bila hitaji la kubeba pesa taslim.

Kuna ofa maalum unazoweza kuzipata unaponunua Vifurushi vya Kinara zitakazokuwezesha kufurahia huduma za kipekee na punguzo la bei katika maduka na watoa huduma waliosajiliwa unapolipa kutumia mfumo wa Tigo Pesa Masterpass.

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo