Matumizi Binafsi Kwa Vikundi | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

Matumizi binafsi kwa vikundi
Matumizi binafsi kwa vikundi

Matumizi binafsi kwa vikundi

Je unahitaji kuongea na wafanya kazi wenzako kwenye kampuni bila kikomo au kuogopa kuishiwa salio?

Fanya hivyo kwa kutumia huduma za Tigo Biashara CUG.

Matumizi binafsi kwa vikundi inakupatia maongezi ya bila kikomo ndani ya kampuni yako. Huduma za CUG zimesaidia makampuni mengi kupunguza gharama zao kwa asilimia 30 huku yakiongeza uzalishaji kazini.

Tigo biashara CUG inarahisisha mawasiliano na kuruhusu wafanyakazi kuwasiliana moja kwa moja bila matatizo.

Je una wasambazaji unaotaka kuwaongeza kwenye kampuni yako?

Fanya hivyo kwa kutumia Tigo biashara ya mwingiliano wa CUG na uwaongeze wasambazaji au kampuni dada na uwapigie kwa gharama nafuu.

Jaza fomu hapo chini ili kuwasiliana nasi kwa maelezo zaidi.

Wasiliana Nasi

Simu

Simu

Namba ya Simu: +255 713 800 012

Huduma kwa Wateja: 100

 

Mahali

Mahali

MIC Tanzania Limited,

DERM COMPLEX, New Bagamoyo Rd,

P.O. Box 2929, Dar es Salaam, Tanzania.

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo