Mawasiliano MPLS | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

Mawasiliano MPLS
Mawasiliano MPLS

Mawasiliano MPLS

Unganisha tawi zako kupitia mtandao ya kisasa, yenye usalama na ya uhakika wa WAN kutoka Tigo Biashara. Pata mtandao wa kuunganisha tawi zako zote kwa usalama na furhaia huduma yetu bora ya kuwapa msaada wa kiteknologia, ikihitajika.

Mahitaji ya Biashara yako

 • Huduma za kisasa,salama, za kutegemewa na za kipekee kwa ajili ya mtandao wako mkubwa ulioenea sehemu tofauti ndani na nje ya nchi.
 • Huduma binafsi za mawasiliano
 • Huduma za kisasa kwa kampuni yako kuhakikisha upatikanaji na msaada wa kiufundi.

Manufaa kwa Biashara yako

 • Usalama wa mawasiliano ya biashara yako bila kuunganishwa na umma.
 • Unaweza kuchagua tofauti kuanzia 1Mbps.
 • Ni rahisi kuongeza matumizi na matawi ya ofisi kwenye mtandao wa biashara yako.
 • Muundo wake ni rahisi kusimamiwa hata kama unatumia miundo tofauti tofauti.
 • Ni rahisi kusimama na hakuna mabadiliko ya vifaa pindi unapoongeza kituo kwenye VPN
 • Ina bei rahisi na huduma inayofaa

Faida za Huduma Hii

 • Mtandao imara wa biashara yako kwa kutumia TIgo MPLS
 • Kuongeza uwezo kwenye mtandao wa kampuni yako
 • Utapata njia ya binafsi ya mawasiliano kutuma taarifa zako muhimu

Faida Nyinginezo

 • Uwangalizi wa masaa 24 ndani ya siku 7 wa njia za mawasiliano za mteja
 • Msaada wa mteja kwa kutumia wahandisi wetu wakati utakapopata shida

Jaza fomu hapo chini ili kuwasiliana nasi kwa maelezo zaidi.

Wasiliana Nasi

Simu

Simu

Namba ya Simu: +255 713 800 012

Huduma kwa Wateja: 100

 

Mahali

Mahali

MIC Tanzania Limited,

DERM COMPLEX, New Bagamoyo Rd,

P.O. Box 2929, Dar es Salaam, Tanzania.

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo