Mfanyabiashara FAQs | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..Mfanyabiashara FAQs

Ndio, pesa ilioko kwa akaunti ya Tigo Pesa inaweza patikana kwa ndugu pale mfanyabiashara akifariki, kwakkuwasilisha nyaraka zitakazotakiwa na kufuata utaratibu wa kawaida, kama cheti cha kifo nk.

Tuna ushirikiano mzuri na vituo vyetu vya simu, tunawashirkisha habari zote kuhusu wafanyabiashara na hamna mabadiliko yanayofanyika bila idhini ya mfanyabiashara.

Hatushauri wafanyabiashara kutoa pesa kwasababu wanaweza kufanya shughuli mbali mbali na hela iliopo kwenye akaunti, unaweza fanya ifuatavyo.

  • Unaweza kuongeza bidhaa zako kwakulipa wasambazaji waliojisajili.
  • Unaweza kuhamisha salio la hela kwenda kwenye akaunti ya benki.
  • Unaweza kulipia bili tofauti zilizopo kwenye menyu ya Tigo Pesa.
  • Unaweza hamisha hela kutoka akaunti ya Tigo Pesa kwenda kwa akaunti zingine.

Tumia akaunti yako kuokoa pesa ili upate gawio la Tigo Pesa kila baada ya miezi mitatu.

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo